
![]() |
@aron | |
Mwanzo 2:1-2 MUNGU alipumzika siku ya saba Mwanzo 2:3 kubalikiwa na kutakaswa kwa sabato kutoka 20:8-11 kuamuliwa sabato kutunza na wanadamu kutoka 20:10 sabato ni siku ya saba ya juma isaya 66:22-23 siku ya kuabudu ni siku ya saba ya juma(juma moshi) ezekieli 20:12 sabato ni ishara kati yetu na MUNGU SABATO inaanza jion na kuisha jioni mwanzo 1:8,13,19 lakini pia tazama walawi 23:32 na marko 1:32 JE KRISTO ALI ITUNZA SABATO? tazama luka 4:16 ili kua desturi yake kila sabato lazima aende kuabudu tazama pia yohana 15:10 yesu alishika amri za baba ikiwemo sabato katika mathayo 5:17 yesu alikuja kutimiliza torati na si kutangua ndiyo maana na alishika amri za MUNGU lakini kwene sabato alitimiliza mambo kama kutenda mema,kuokoa luka 6:7 sasa kuna watu wana sikiliza na kushika mafundisho ya wanadamu(roman catholic na matawi yake)kua sabato ilibadilishwa na sabato ilikomea msalabani wote hao biblia inasema katika marko 7:7-9 TUBADILIKE NA TUISHIKE SABATO AMEN |
||
0
Replies
14
Views
1 Bookmarks
|


