
![]() |
@geaz | |
Tetesi za NBC PREMIER LEGUEL kuhusu simba wameweka wazi kuhusu kumsajili fei toto amefurahia ofa za simba watachuana na jeshia ahua ambaye anataka aondoke simba feisal na mpanzu watakiwasha |
||
4
Replies
13
Views
0 Bookmarks
|
![]() |
@geaz | 3 days |
Kevin de bruyne wenda ataondoka manchester city klabu ya barcelona wanataka wamuuze laphina wamevutiwa na na mchezaji wa livepool luis diaz wanataka wamsajili ili aje barcelona mancity wanamtaka rodrigo kwa dau lolote
|
||
![]() |
@geaz | 3 days |
Tetesi kiungo wa arsenal saka anaenda manchester city arsenal wameweka wazi kuhusu saka anaondoka salah na vanidaick wamesaini mkataba wa kusalia livepool watakipiga klabu ya manchester united wameweka wazi wanamtaka osmeni
|
||
![]() |
@geaz | 3 days |
Tetesi za simba kuhusu ateba anaondoka simba na kwenda singida black star atakiwasha mo dewj amesema msimu ujao watasajili watachukua ligi ya mabingwa manula anaondoka simba na kwenda azam na huku feisali kuja simba
|
||
![]() |
@geaz | 3 days |
Singida black star atamba kumfunga simba goli 3 kocha wa singida black star asema kombe watachukua watamfunga yanga hawatoki waulizeni simba kama walitoka kocha wa simba david fadlu alisema wachezaji wake walikuwa wamechoka kiakili na kinguvu taarifa klabu ya yanga imekataa dabi rais ameingilia kati
|
||


