
![]() |
@neptuneplanet | |
Maumivu ni nini? Maumivu ni pale ambapo uliwekekeana ahadi na mpenzi wako unakwenda kimasomo zaidi LONDON next year utakuja muowane but unaludi unakuta rafiki yako kipenzi kashavuta jiko na anamtoto moja. imagine it. |
||
2
Replies
8
Views
1 Bookmarks
|


