
![]() |
@jumamegaboy | |
KARIBU TUENJOY. Na lugha ya kiswahili. Mimi niswali. Wadau wa mpira hebu niambieni utabili wenu kuelekea. Mech ya RS Berkane Na Simba sport club! Nani kuondoka mwamba mbele ya mwenzake. Niite. Yohana S,M au DJ.PLAN+255,TZ |
||
13
Replies
73
Views
2 Bookmarks
|
Page #: 1/2 |
![]() |
@kingmswati | 15 May 25 |
Mshindi anajulikana xax mwakarobo ndo wakumfunga berkane
|
||
![]() |
@jumamegaboy | 15 May 25 |
Nitumie namba yako
|
||
![]() |
@kingmswati | 15 May 25 |
0792710598
|
||
![]() |
@jumamegaboy | 15 May 25 |
Umetisha sana
|
||
![]() |
@tzfighter | 15 May 25 |
Jiunge channel ya predictfootball utaona ila kiuzalendo tuiombee simba maana UZALENDO KWANZA
|
||
![]() |
@jaliku | 16 May 25 |
Hahahahaha ilo ni jbu kaka
|
||
![]() |
@jumamegaboy | 16 May 25 |
Kuiombea timu ya tanzania nijambo la heri. Ila kunavitu vinaendelea hapa. Tanzania hata mimi vinanichanganya. 1_wewe unaiyombea timu fulani ishinde. Naikishinda wenye timu yaani mashabiki wanaanza kusema. Ama kuikashifu timu pinzani. Sasa kabura hatujaendelea jibu swali. Je.ingekuwa wewe timu yako inasemwa vibaya ungelika. Alafu timu uliyo iyombea ishende mashabi wa timu hiyo. Wamesahau maombiyako. UTAPENDA Jibu usiogope! DJ PLAN.+255,TZ
|
||
![]() |
@kingmswati | 16 May 25 |
Kila mtu ana penda timu yake uzalendo pemben wakati yanga anatolewa champions league kuna mwana simba hata mmoja aliyeumia ko hata wanayanga wanamuombea simba abuluzwe nje ndani.
|
||


