
![]() |
@buchumipetro | |
Habari ndugu zangu leo katka sl yan sayalini nimewaletea somo hili jinsi ya kumteka mwanamke bila dawa na hii uwaga ni ngumu kwa fikra ya wanaume hawaamini kupitia hivi ndoa zinavunjika na zingine zipo mahututi ni kwajili tu ya elimu moja kwa moja ebu tutadhame topc inalengo gani mada inalengo la JINSI YA KUMTEKA MWANAMKE BILA DAWA °sasa kama wewe ni mwanaume umeoa na ndoa yako iko mahututi ebu hakikisha unafanya yafuatayo: 1-KANUNI Ndugu wanaume ukitaka udumu na mkeo lazima uweke kanuni shelia bila kanuni mwanamke hutaweza kumteka maana atashawishika maana hana mipaka au atakukela hata kwa kurudi usiku au kutokukupikia au atakuwa anakujibu vibaya au atakuwa na marafiki wabaya. 2-TENDO LA NDOA kisha hakikisha kitandani unampa haki akiitaji mtimizie usimnyime eti wiki umenuna bila kumtimizia haitakiwi 3-UPENDO & MAHABA Na hakikisha unampa upendo na kumuonyesha mahaba bila kukoma 4-KUJINYENYEKEZA NA UKALI KIASI Mwanamke anataka ukikosea unyenyekee lakini pia mwanamke anatamani mwanaume awe na msimamo |
||
1
Replies
32
Views
2 Bookmarks
|
![]() |
@mbayuwayu | 9 April 25 |
Thank you
|
||


