
![]() |
@buchumipetro | |
Habari wanawake ambao mko katka ndoa hakikisheni mnaepuka kumfokea hovyo mwanaume yani mme wenu hili nikosa na mwanaume hapendi umfokee hatakama anakosa elezea vizuri |
||
0
Replies
25
Views
1 Bookmarks
|


