
![]() |
@neptuneplanet | |
Simba sc Vs Singida black star. |
||
7
Replies
38
Views
1 Bookmarks
|
![]() |
@jumamegaboy | 4 days |
Mechi ya simba na brack star's mimi binafis mechi hiyo ni ngumu sana ukitazama takwim za mchezo uliopita mimi ninavyo ona atakae kuwa bora atachua poit 3 labuda nigawe asilimia. Simba %60__. Brack star's %30_ sare%10! Kilala heli. Wadau. Mimi. DJ.PLAN+255,TZ
|
||
![]() |
@jumamegaboy | 4 days |
Je. Kesho nani kumiliki mpira yani. Ball porssesion DJ,PLAN+255,TZ
|
||
![]() |
@neptuneplanet | 4 days |
I don't know brow.
|
||
![]() |
@jumamegaboy | 4 days |
Kwa nn
|
||
![]() |
@neptuneplanet | 3 days |
Coz mchez utakuw mgumu
|
||
![]() |
@nyengu | 3 days |
Nitumieni sms zakingeleza halafu mnitafasirie
|
||
![]() |
@neptuneplanet | 3 days |
Tupo kwa ajili ya kiswahili kaka. Ila uxijal
|
||


